Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Ahmad Al-Asir Sheikh wa Kiwahabi Nchini Lebanon ambaye ni maarufu kwa kuzagaza fitina Lebanon huku akijificha hadi leo kutofahamika yupo wapi.
Sheikh huyo wa Kiwahabi alirekidi kanda 1000 za hotuba zake na kuandaa makala tofauti na kuzisambaza ndani na nje ya nchi kwa lengo la kuleta mtafaruku nchini humo.
Kwa mara hii Sayyid Hasan Nasrullah alieleza kuwa maneno yake ni ya kuchekesha na kuwataka wasomaji wasome na kufikiri maneno hayo ya kuchekesha.
Ahmad Al-Asir Sheikh wa fitina alisambaza makanda wake akisema: Mripuko wa Lebanon umesababishwa na Hizbullah kwa kupeleka majeshi na kuunga mkonoserikali ya Syria.
Sheikh wa fitina aendelea kusema: Sayyid Hasan Nasrullah jeshi huru la Syria na wapinzani wa Lebanon awaita kuwa ni makundi ya Kikafiri kwa lengo la kuuwa watu wasokuwa na hatia.
Akiwahutubia Masunni alisema: Sayyid Hasan Nasrullah kusaidiwa na vyombo vya usalama ambavyo vipo mikinoni mwake akuuweni nyote Masunni nchini.
Aidha akisisitiza kwa kusema: Lengo la Nasrullah ni kuondowa Usunni Lebanon, na yeye anachuki na Madhehemu ya Sunni.
Sheikh huyu wa Kiwahabi alimalizia kwa kuwahotubia Mashia kwa kusema twawaomba Mashia wajikusanye na kutuunga mkono kumuangamiza Nasrullah.
Ama kweli Mawahabi na Masheikh wao ni fitina kwa umma wa Kiislamu, madai ya Sheikh huyu wa Kiwahabi ya chekesha kwani vibaraka wakumbwa wa Marekani ni Mawahabi kusaidizana katika kuondoa na kuvuta Uislamu duniani.
Mwahabi waunga mkono utawala ulompudua rais wa Misri Muhammad Mursi na kuomba Marekani na nchi za Ulaya kuunga mkono utawala huu ulokuwepo, lengo la kukubali utawala huu ni kutokana na utawala wa Muhammad Mursi ulikuwa namalengo ya kuwaweka wa Palestina kuwa huru ni kupitia Marekani na Israel wakapindua utawala huo na kuleta vibaraka wao ambao wataoungwa mkono na wa Arabu ikiwemo Saudia Arabia.
Leo hii kuna fununu za kuachiwa huru rais wa zamani Husni Mubarak na hawayo ndiyo malengo ya Marekani na vibaraka wake.